Cover Image
close this bookOperation and Maintenance of Water and Sewerage Systems (Ministry of Water - Tanzania - Rwegarulila Water Resources Institute, 1999, 90 p.)
close this folderANNEXES
View the document1. Class Test (in Swahili)
View the document2. Evaluation Form (in Swahili)
Open this folder and view contents3. Group work - Operation and Maintenance of the following:

1. Class Test (in Swahili)

KOZI FUPI YA O&M YA MAMLAKA ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA

MTIHANI (13/08/1999)

Maelekezo

Chagua jibu sahihi na andika herufi yake kwenye karatasi iliyo ambatanishwa. Andika namba yako utakayopewa, kwenye karatasi hiyo.

1.

Ukifungua tapu ya maji iliyo kavu utasikia sauti ya shiiiiii. Ukigusa kwenye mdomo wa tapu hiyo kutakuwa na msukumo:
(a) Unaovuta kwa ndani

(c) Unaosukuma ndani na nje


(b) Unaosukuma kwa nje

(d) Hakuna msukumo wowote.2.

Ni kitu gani muhimu kinachozingatiwa katika uteuzi wa Chanzo cha Maji.
(a) Ubora wa maji

(c) Utegemezi wa Chanzo


(b) Wingi wa maji

(d) Mwinuko wa maji kwa kulinganisha na eneo linalohitaji maji3.

Viwango vya ubora wa maji katika nchi zinazoendelea uko chini, nini kwa sababu:
(a) kutojua umuhimu wa maji safi


(b) kutokuwa na fedha za kigeni


(c) Kutokuwa na wattalamu wa kutosha


(d) kutokuwa na fedha za kutosha.4.

Kazi ambayo huwa na matatizo makubwa katika miradi ya maji ni:


(a) upangaji (b) Usanifu (c) Ujenzi (d) O&M.5.

Ukarabati wa miradi ya maji, unalenga katika vitu vitatu muhimu:-
(a) Usalama wa majengo, uendeshaji, na afya za walaji.


(b) Uimara na usalama wa majengo, uendesjaji bora, na usafi wa maji.


(c) Usalama wa majengo, uendeshaji bora na ongezeko la mapato.


(d) Usalama wa majengo ya maji, uendeshaji bora wa afya z za wateja.6.

Ukaguzi muhimu wa miradi ya maji ni wakati mradi
(a) Haujaanza kuzalisha maji


(b) Wakati mradi unazalisha maji


(c) Baada ya muda mrefu wa kuzalisha


(d) Unapokuwa umesimamishwa.7.

Umuhimu wa kumbukumbu ni:-
(a) Kutoa taarifa za vipuri vitakavyo hitajika wakati wa matengenezo.


(b) Kutoa taarifa ambazo zinaweza kusaidia katika mipango ya baadae.


(c) Kutoa taarifa za mapato na matumizi


(d) kusaidia katika kupanga ratiba ya ukarabati.8.

Makusanyo yanayopatikana kutokuwa na kuuza maji, yanatakiwa
(a) Kulipa mishahara ya wafanyakazi


(b) Kulipia malipo yote ya O&M.


(c) Kununulia mafuta na vipuri vyote vya mitambo


(d) Kuweka benki9.

Mara nyingi wana siasa wetu huwa wanapendelea
(a) Kukamilisha miradi iliyokwisha anzishwa


(b) Kufuatilia O&M.


(c) Kubuni mikakati ya kufanikisha O&M


(d) Kuanzisha miradi mipya10.

Maana ya neno “Sewerage” ni:-
(a) Taratibu za kuondoa maji mchafu


(b) Bomba la kubebea maji machafu


(c) Maji machafu kutoka kwenye makazi ya watu


(d) Maji machafu kutoka kwenye makazi ya watu pamoja na maji ya mvua.

2. Evaluation Form (in Swahili)

FOMU YA TATHMINI YA KOZI YA O&M

Fomu hii imeandaliwa ili kupata maoni ya washiriki kwa kozi. Tathmini inaanza na namba 5, ambayo ndiyo kubwa kuliko zote, na kutelemka mpaka 1 ambayo ndiyo ndogo kuliko zote.

5 - Nzuri sana
4 - Nzuri
3 - Inaridhisha
2 - Hafifu
1 - Hafifu Sana

Andika namba inayo stahili, ndani ya sanduku, kila baaada ya maelezo yaliyotajwa hapo chini.

1.

SOMO
- Ubora wa Somo


- Kiasi ulichifaidika


- Mafanikio ya mategemeo


- Majadiliano darasani


- Matembezi ya ruvu Juu


- Muda wa wiki 2 wa somo


- Tathmini ya wastani wa Somo


- Picha na maelezo ya “video”2.

MWALIMU
- Uwezo wa kujieleza


- Upeo wake katika somo


- Uzoefu


- Mtiririko wa maelezo


- Kueleweka


- Uchangamfu

- Intake structure

GROUP WORK 1 (03/08/1999)

Explain how operation and maintenance is being carried out at your work places for the intake structures. Express your answer as follows:

(a) Operational Tasks and at what frequencies they being done.
(b) Maintenance Tasks and at what frequencies they are being conducted.

- Pumping station

GROUP WORK 04/08/1999

Express your answer as follows:

(a) Operational Tasks and at what frequencies they are being done
(b) Maintenance Tasks and at what frequencies they are being conducted

- Water treatment unit

GROUP WORK 05/08/1999

Express your answer as follows

(a) Operational Tasks and at what frequencies they are being done.
(b) Maintenance Tasks and at what frequencies they are being conducted

- Water mains

GROUP WORK 06/08/1999

Express your answer as follows:

(a) Operational Tasks and at what frequencies they are being done.
(b) Maintenance tasks and at what frequencies they are being conducted

- Water tanks

GROUP WORK 09/08/1999

Express your answer as follows:

(a) Operational Tasks and at what frequencies they are being done.
(b) Maintenance tasks and at what frequencies they are being conducted

- Sewerage systems

GROUP WORK 12/08/1999

Express your answer as follows:

(a) Operational Tasks and at what frequencies they are being done.
(b) Maintenance tasks and at what frequencies they are being conducted