
| Utenzi wa Nyakiiru Kibi (ECOL Publications, 1997, 109 p.) |
|
Utenzi natabaruku
Kwa wana wa nchi yetu
Wasiojua ya kwetu.
Someni msiyashuku
Mambo ya wahenga wetu
Ni tunu ya watu wetu.
Someni na kuarifu
Wasiojua kusoma
Wahenga waliohama.
Halafu yahifadhini
Ili yasipate kutu
Hekima ya nchi yetu.

Taswira