
| Uchambuzi na Uhakiki - Karibu Ndani (Dar Es Salaam University Press, 1991, 26 p.) |
|
1. Ni vipi dhamira ya kisiasa imejitokeza katika Karibu Ndani.
2. Eleza maana ya taswira na kisha jadili matumizi yake katika diwani ya Karibu Ndani.
3. Chambua dhamira za Karibu Ndani, na halafu eleza kufanikiwa au kutofanikiwa kwa diwani hiyo.
4. Hoja kwamba vina na mizani ni uti wa mgongo wa ushairi haina maana, kwani Karibu Ndani haizingatii kanuni hizo na bado mashairi yake ni bora. Jadili.
5. Jadili matumizi ya lugha, picha na tamathali za usemi katika
Karibu
Ndani.