Cover Image
close this bookTafsiri Sanifu - Toleo la 4 (Standard Translation) (BAKITA, 1998, 79 p.)
View the document(introduction...)
View the documentUTANGULIZI
View the documentADMINISTRATION AND MANAGEMENT - UENDESHAJI NA UONGOZI
View the documentBIOLOGY - BAYOLOJIA
View the documentCHEMISTRY - KEMIA
View the documentDOMESTIC SCIENCE - SAYANSI KIMU
View the documentGEOGRAPHY - JIOGRAFIA
View the documentHISTORY - HISTORIA
View the documentPHYSICS - FIZIKIA
View the documentPOLITICAL TERMS - ISTILAHI ZA SIASA
View the documentTECHNICAL DRAWING - URASIMU
View the documentTECHNOLOGY - UFUNDI/TEKINOLOJIA

TECHNOLOGY - UFUNDI/TEKINOLOJIA

1. Accelerate

Chapuza/chapuka

2. Acetylene (C2H2)

Asetilini [C2H2]

3. Adhesion

Mng'ang'anio

4. Adjust (to adjust)

Rekebisha [kurekebisha]

5. Affect

Athiri

6. Allowance

Mwanya

7. Alloy (steel...)

Aloi [... ya chuma cha pua]

8. Aluminium

Aluminiamu

9. Ampere(s)

Ampea

10. Amplification (process)

Mkuzo [Mfuatano]

11. Amplification (result)

Ukuzaji [Matokeo]

12. Apron (Aprons)

Kimori/Aproni [vimori]

13. Arc

Aki [mtiririko wa elektroni hewani katika kuyeyusha na kuunga metali]

14. Arch(es)

Tao [matao]

15. Arc welding

Kutambuza kwa aki

16. Arrow(s)

Mshale [mishale]

17. Artisan

Fundistadi

18. Asbestos

Asbestosi

19. Atmosphere

Angahewa

20. Atom(s)

Atomi

21. Axis (Axes)

Mhimili [mihimili]

22. Ball bearing

Gololi

23. Ball pein hammer

Nyundo rungu

24. Barometer

Kipima hewa/Barometa

25. Battery (Batteries)

Betri

26. Beam balance

Mizani mdara [asili Tabora]

27. Beam(s)

Mwamba [miamba]

28. Belt(s)

Mkanda [mikanda]

29. Bevel gear

Giamatemo/Geamatemo

30. Blind hole

Tobwe

31. Bevel(s)

Matemo

32. Blue

Bluu

33. Blunt

Butu

34. Body

Bodi

35. Box (Boxes)

Sanduku [masanduku]

36. Brake

Breki [kizuio]

37. Brass

Shaba nyeupe/Brasi

38. Brittleness

Ukechu

39. Brace

Gango

40. Brush

Brashi

41. Butt joint

Liwato

42. Calipers (callipers)

Kalipa

43. Cam

Kem

44. Carbon

Kaboni

45. Cartridge(s)

Katriji

46. Cassettes

Kaseti

47. Casting

Kusubu

48. Central line

Metali kati

49. Cast iron

Chuma udongo

50. Chimney

Chemni

51. Chisel/cold chesel

Tindo

52. Circuit(s) (electric...)

Saketi [...ya umeme]

53. Circulate

Eneza

54. Circulation

Mzunguko

55. Circumference

Mzingo/Mduara

56. Clamp

Bana

57. Classify

Ainisha

58. Claw hammer

Nyundo koleo

59. Clutch

Klachi

60. Coal

Makaa ya mawe

61. Cohesion

Mshikamano

62. Conductor

kipitisho

63. Conjugate

Menopacha

64. Coke

Makaa zimwe

65. Compass

Dira

66. Conserve

Hifadhi

67. Contact

Mgusano

68. Continuity

Mwendelezo

69. Convection

Myuko

70. Convex

Mbonyeo

71. Craftman

Fundistadi

72. Crank (noun)

Kombo [jina]

73. Crank (verb)

Komboa [tendo]

Crankshaft

Fitokombo

74. Crow bar(s)

Mtaimbo [mitaimbo]

75. Current(s)

Mkondo [mikondo]

76. Cylinder key

Ufunguo wa silinda

77. Cylinder (s)

Silinda

78. Dampen

Fifia/Fifiza

79. Description (Describe)

Aridhio [Aridhia]

80. Development

Mkunjuo

81. Diameter

Kipenyo [vipenyo]

82. Diaphragm

Kiwambo

83. Differentiate

Tofautisha

84. Distance

Umbali

85. Dot(s)

Doti

86. Draughtsman

Mrasimu

87. Drill

Kekee

88. Drilling Machine

Mashine ya kekee

89. Dynamo

Dainamo

90. Elastic

a kunyumbuka

91. Elasticity

Mnyumbuko

92. Electric bell

Kengele ya umeme

93. Electricity

Umeme

94. Electron(s)

Elektroni

95. Element(s)

Elementi

96. Engineer(s)

Mhandisi [wahandisi]

97. Engine(s)

Injini

98. Envelope

Mwako wa nje

99. Exhaust

Ekzosi

100. Exhaustion

Mchemuo

101. Expansion

Mtanuko

102. Explain

Elezea

103. Fence(s)

Ua [nyua]

104. Filter(s)

Kichujio [vichujio]

105. Flame

Ulimi [ndimi]... wa [za] moto

106. Flight(s)

Mruko [miruko]

107. Flush door(s)

Mlango mfuto [milango mifuto]

108. Flux

Tindikali

109. Focal points
(Focal point)

Nukta za Fokasi
[nukta ya Fokasi]

110. Forging (iron...)

Kufua [... vyuma/metali]

111. Freehand sketch (ing)

Mkakato [kukakata]

112. Frequency

Marudio

113. Friction

Msuguano

114. Funnel

Mpare

115. Furnace

Joko

116. Fuse

Fyuzi

117. Gate

Lango

118. Gear

Gia/Gea

119. Gearbox

Giaboksi/Geaboksi

120. Generator(s)

Jenereta

121. Geometry

Jometri

122. Glove(s)

Glavu

123. Governor

Gavana

124. Gravity

Uvutano

125. Green

Kijani

126. Grey

Kijivujivu

127. Grinder

Cherehe

128. Guard-rails

Mkinga [mikinga]

129. Helical gear

Giahesi/Geahesi

130. Helix

Hesi

131. Horsepower

Nguvufarasi

132. Horizontal line

Msitari mtambaa

133. Hose(s)

Bomba [mabomba]

134. Ignition

Mwasho

135. Incline

Betua

136. Indicator(s)

Indiketa/kiashirio

137. Inertia

Inesha

138. Ingredient (Ingredients)

Kiambato [viambato]

139. Inner-cone

Mwako wa Ndani

140. Instant

Ghafla

141. Interview

Hojaji

- Interviewee

Mhojiwa

- Interviewer

Mhoji

142. Joe boards(s)

Kikinga/vikinga

143. Joint

Kiungo

144. Lamp holder

Kishika taa

145. Lantern/Huricane Lamp

Fanusi/Kandili

146. Lathe

Kerezo

147. Ledgers

Mataruma

148. Lime

Chokaa

149. Lime stone

Mawe ya chokaa

150. Lintel

Kizumba/Linta

151. Liquid

Kimiminiko/Maji maji

152. Liquid Substance

- a majimaji/-a-vimiminiko

153. Live wire (+)

Wayamoto [+]

154. Loop(s)

Kitanzi [vitanzi]

155. Lubrication

Ulainishaji

156. Machine(s)

Mashine

157. Magnet(s)

Sumaku

158. Maintain

Tunza

159. Marking gauge

Mahati

160. Matter

Maada/Mata

161. Maximum

Kiwango cha juu

162. Metal

Metali

163. Minimum

Kiwango cha chini

164. Molecule(s)

Molekyuli

165. Molten metal

Myeyuko

166. Moment(s)

Momenti

167. Momentum

Momenta

168. Motion

Msogeo

169. Motor

Mota

170. Mould (verb)

Finyanga [tendo]

171. Negative wire (-)

Wayabaridi

172. Neutral wire

Wayabatili

173. Neutron(s)

Nyutroni

174. Nitrogen (N)

Naitrojeni [N]

175. Nozzle(s)

Pua/Nozeli

176. Nucleus (nuclei)

Kiini [viini]

177. Nut(s)

Nati

178. Odd-leg-Caliper

Kalipa Witiri

179. Orange (... colour)

a- machungwa [rangi...]

180. Orifice(s)

Kitundu [vitundu]

181. Pair

Jozi

182. Parallelogram

Msambamba [Misambamba]

183. Pattern(s)

Bombwe [mabombwe]

184. Peg(s)

Mambo

185. Penetrate

Penya/Penyeza

186. Phase(s)

Fev

187. Physical property

Tabiaya kimaumbile

188. Pivot/Fulcrum

Egemeo

189. Plan(s)

Ramani

190. Plane(s)

Ubapa [bapa]

191. Plank(s)

Ubao [mbao] ...wa [za] Jukwaa

192. Plaster (inside)/Render (outside)

Lipu [ndani na Nje]

193. Plasticine

Plastisini

194. Plug

Plagi

195. Plumb bob

Timazi

196. Polish

Ng'arisha

197. Porcelain

Kaure

198. Porous

a vinyweleo

199. Property (properties of...)

Tabia [Tabia za...]

200. Prism

Mche

201. Project

Chomoza

202. Proton

Protoni

203. Protrude

Tokeza

204. Pulley(s)

Roda

205. Purify

Halisisha

206. Push

Msukumo

207. Questionnaire

Kidadisi

208. Radiation

Mnururisho/Rediesheni

209. Red

Nyekundu

210. Reflect (...light)

Akisi [... nuru]

211. Regulator

Kirekebisho

212. Relative

a uwiano

213. Repair work

Materigenezo

214. Resistance

Ukinzani

215. Revert(s)

Ribiti

- rivert

Piga ribiti

- be reverted

Pigwa ribiti

216. Roller

Kiviringisho

217. Sag

Nepa

218. Sag (to sag)

Legeo [kulegea]

219. Scoop

Bambo

220. Screed

Boya

221. Screen (vibrator...)

Chekecheke/chekeche

Screw(s)

Skurubu

222. Scriber

Kikwaruzo

223. Section

Mkato

224. Shield(s)

Ngao

Shock absorber(s)

Shokomzoba

225. Silver

Fedha

226. Skill

Ujuzi/umahiri

227. Slip

Teleza

228. Socket(s)

Soketi

229. Soldering

Kulehemu

230. Solid(s)

Mango

231. Source(s)

Chanzo [vyanzo]

232. Space

Uwazi

233. Spark(s)

Cheche

234. Speed

Kasi

235. Spiral gear

Giamsokoto/Geamsokoto

236. Spool(s) or Reel(s)

Kibiringo [vibiringo]

237. Spring tension

Mvuto wa Springi

238. Square

Mraba

239. Steel

Chuma cha pua

240. Steel float/Plastering trowel

Karamala

241. Stroke(s)

Pigo [Mapigo]

242. Suspend

Ning'iniza

243. Switch(es)

Swichi

244. System (Systems)

Mfumo [Mifumo]

245. Tape-head

Kinasio

246. Tape- (tapes)

Ukanda [kanda]

247. Technician

Fundisanifu

248. Teeth

Meno

249. Template

Kigezo

250. Tension

Mvulo

251. The saging

Mlegeo

252. The springing

Mnepo/mneso

253. Tighten

Kaza

254. Tin

Bati

255. To exhaust

Kuchenua

256. Topic

Mada

257. Torch(es)

Kurunzi

258. Transformer(s)

Transfoma

259. Tube(s)

Tyubu

260. Twist

Sokota

Tyre(s)

Tairi [matairi]

261. Universal

Kienezi [kiufundi] a ote [kawaida]

262. Valve(s)

Vali

263. Various

Mbalimbali

264. Velocity

Mwendodhahiri/Velositi

265. Vibration(s)

Mtetemo [mitetemo]

266. Vice

Jiriwa

267. Viscocity

Mnato

268. Voltage

Volteji

269. Volt(s)

Volti

270. Volume

Ukubwa/Mjao

271. Wall surface

Kiambaza/Kiwambaza

272. Wedge

Kabari

273. Welding

Tambuzo

274. Weld (to weld)

Tambuza [kutambuza]

275. Welder (Welders)

Mtambuzaji [Walambuzaji]

276. Wrought iron

Chuma mfuo.

Kimepigwa Chapa na Kiwanda cha Uchapaji cha Nuta Press Ltd.
S.L.P. 323, Dar es Salaam.