Cover Image
close this bookTafsiri Sanifu - Toleo la 4 (Standard Translation) (BAKITA, 1998, 79 p.)
View the document(introduction...)
View the documentUTANGULIZI
View the documentADMINISTRATION AND MANAGEMENT - UENDESHAJI NA UONGOZI
View the documentBIOLOGY - BAYOLOJIA
View the documentCHEMISTRY - KEMIA
View the documentDOMESTIC SCIENCE - SAYANSI KIMU
View the documentGEOGRAPHY - JIOGRAFIA
View the documentHISTORY - HISTORIA
View the documentPHYSICS - FIZIKIA
View the documentPOLITICAL TERMS - ISTILAHI ZA SIASA
View the documentTECHNICAL DRAWING - URASIMU
View the documentTECHNOLOGY - UFUNDI/TEKINOLOJIA

ADMINISTRATION AND MANAGEMENT - UENDESHAJI NA UONGOZI

1. Appointment

Uteuzi

2. Allowance(s)

Posho

3. Approved

Imekubaliwa

4. Against

Dhidiya

5. Application(s)

Maombi

6. Advice

Ushauri

7. Advisory

-a ushauri

8. Abusive and insulting language

Matusi na lugha safihi

9. Appeal(s)

Rufani

10. Acting allowance

Posho ya ukaimu

11. Advancesofsalary

Karadha za Mishahara

13. Confirmation

Uthibitishaji

14. Circular(s)

Waraka [nya-]

15. Consultation

Uelekezi

16. Consultant(s)

Mwelekezi [wa-]

17. Condition(s)

Sharti[ma-]

18. Confidential

Siri

19. Communication(s)

Mawasiliano

20. Convalescent leave

Likizo ya afueni

21. Compassionate leave

Likizo ya uraufu

22. Chauffeurs and Drivers

Waendeshajina Madereva

23. Contract of service

Mkataba wa huduma

24. Discipline

Nidhamu

25. Disturbance allowance

Poshoya usumbufu

26. Dependent children

Watoto wategemea

27. Domicile

Makazi

28. Directive(s)

Agizo [ma-]

29. Defferment

Kukawilisha/Kukawilishwa

30. Education and Training

Elimu na Mafunzo

31. Employee(s)

Mwajiriwa [wa-]

32. Education Committee

Kamati ya Elimu

33. Furniture

Samani/Fanicha

34. Entertainment allowance

Posho ya tafrija

35. General Staff Rules

Kanuni Kuu za Watumishi

36. Gift(s)

Hiba

37. Gross misconduct

Kosa kabisa

38. Hours of attandance

Saa za Kazi

39. Housing

Nyumba

40. Hospitality allowance

Posho ya takrima

41. Increments

Nyongeza

42. Insurance benefits

Maslahi ya bima

43. Imprest

Masurufu

44. Leave

Likizo

45. Limited Liability (LTD)

Dhima yenye kikomo [DYK]

46. Loan(s)

Mkopo [mi-]

47. Medical facilities

Fursa za Matibabu

48. Miscellaneous

Menglneyo

49. Management Committee

Kamati ya Uongozi

50. Medical Officer

Daktari

51. Medical Report

Taarifa ya Daktari

52. Misconduct

Kosa

53. Mileage/Kilometre allowance

Posho ya Maili/Kilomita

54. Medical and Dental Treatment

Matibabuya Magonjwa na Meno

55. Neglect of duty

Upuuzaji kazi

56. Normal Working Hours

Saa za Kazi ya Kawaida

57. Nomination of Candidates

Uteuzi wa Waomba

58. Offer of appointment

Kadimisho ya uteuzi

59. Overtime

Ajari/Ovataimu

60. Overseas

Ng'ambo

61. Procedure of sponsorship

Utaratibu wa udhamini

62. Provided that

Isipokuwa kwamba

63. Press and Radio

Magazeti na Redio

64. Present(s)

Zawadi

65. Probationary period

Muda wa majaribio

66. Practitioner

Mganga/Daktari

67. Permanent terms

Mashartiya kudumu

68. Provision(s)

Sharti [ma-]

69. Promotion

[1] Upandishaji cheo;
[2] Ukuzaji

70. Preliminary

Utangulizi

71. Retirement

Kustaafu

72. Regulation(s)

Kanuni

73. Reprimand(s)

Lawama

74. Rates of overtime

Viwango vya ajari

75. Retirement benefits

Maslahi ya kustaafu

76. Responsibility

Madaraka

77. Scholarship(s)

Msaada wa masomo [mi-]

78. Sick Sheet

Karatasi ya Matibabu

79. Supervision

Usimamizi

80. Salary scales

Viwango vya Mishahara

81. Special time off

Muda maalum huria

82. Sick Leave

Likizo ya Ugonjwa

83. Stoppage

Kuzuia

84. Suspension

Kusimamishwa

85. Secret

Siri sana

86. Specialist

Mtaalamu

87. Subsistance allowance

Posho ya kujikimu

88. Salary

Mshahara

89. Termination

Uachishaji/Uachishwaji

90. Travelling

Safari

91. Transfer

Uhamisho

92. Title and Commence merit

Jina na Mwanzo

93. Terms of Service

Masharu

94. Temporary Tenns

Masharti

95. Vacancy

Nafasi

96. Withholding

Kushikilia

97. Warning (s)

Maonyo

96. Workmen's Compensation

Fidia ya Wafanyakazi