
| Ham volume 8 - Jarida la mabadiliko na uimarishaji wa sekta ya Afya Tanzania (Wizara ya Afya, 1998, 38 p.) |
Usiwe mlevi wa kupindukia
Usiwe
mropokaji/mlalamishi
Usiwe mtoaji wa Siri za serikali
Usiwe
mzembe wa kutojali matatizo ya wananchi ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa
kijinsia
Usitumie vibaya madaraka na mali ya umma
Usipokee
wala kutoam rushwa
Usitumie majina ya viongozi wengine kwa manufaa
yako
Usishirikiane na watu wenye miendeno isiyokubalika wasiokuwa
namaadili mema ya Taifa
Usiwe na kauli/lugha isiyofaa
Usiwe
kinara wa ugonvi
Usiwe shabiki wa kutoa matusi
Usiwe Afisa
mwenye kiburi na majivuno
Usiwe mbobeaji wa ufuska
Usiwe
mbabe wa kutingia watu makosa wasiyoyatenda
Usifungamane na dini
yeyote ile katika kuamua
Usiwe mshabiki wa vyama vya siasa na hivyo
kutoa maamuzi kwa misingi ya Chama fulani
Fanya kazi kwa kushirikiana
na wenzako na wengine mnaoshirikiana kimajukumu
Usifayne kazi kwa
kuangalia saa
Pima utendaji wa walio chini yako kwa misingi ya
utendaji wao na sio vinginevyo.
Heshimu
Utaalam.